Zari Akubali Kurudiana Diamond....

Baada ya masaa takribani 13,tangu hit maker wa African Beuty na King of Pop in Afrika ambaye bado anasumbua na ngoma aliyoshirikishwa na harmonize "Kwangwaru,Diamond Platnumz maarufu kama Chibu Dee kuachia kichupa cha karne "Iyena" hatimaye Star wa Manzese True Boy "Nay wa mitego ameibuka na kumwagia sifa kijana huyo ambaye leo amenunua :D:Dpage zote za instagram na youtube kwa kazi nzuri ya wimbo huo uliopo kwenye album ya A boy from Tandale.

Katika post yake huko IG Nay amesifia kazi nzuri na kumlaumu Diamond kwa kupuyanga na "Mapugi machafua nyota" .

Aidha,Nay amesema anafanya mpango aongee na mama Tee ili yaishe jambo hilo limemfurahisha Zari ambapo amelike na Kukomenti post hiyo kwa kuweka emoji ya Kusalimu amri... 

Je hii ni ishara kwamba Mama Nillan yuko tayari kurudi Madale?

Toa maoni yako

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mrembo Zeri usirudi madale hapo utajitaftutia magonjwa Diamond katembea na wanawake wengi sana bila kutumia kinga ndiyo maana amezaa na mobeto na huyo ambaye anajulikana je kwa ambao mademu aliyetembea nao ambao hawajulikani?

    ReplyDelete
  2. Zari usirudi kwa Diamond ni heri ujali afya yako kuliko kumrudia mtu ambaye analala na wengi bongo kuna magonjwa na sio uwongo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad