Taarifa iliyotolewa inasema Nondo amekamatwa usiku jana July 26 majira ya saa tatu usiku akiwa chuoni hapo pamoja na baadhi ya wanafunzi wenzie.
VIDEO:Mwenyekiti @AbdulNondo2 amekamatwa na Auxilliary police wa UDSM majira ya saa tatu usiku huu chuoni hapo akiwa pamoja na baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho.Mkuu wa kituo amekataa kumwachia kwa sababu za kiusalama.Kesho asubuhi tutafika kituoni hapo kwa ajili ya taratibu nyingnezo pic.twitter.com/KIMvSst2Tk— Mtandao Wa Wanafunzi Tanzania (@TSNP_Wanafunzi) July 26, 2018