Ananipa Mapenzi Mpaka Naogopa, Nilikuwa Simpendi ila Sasa Nimeoza Bado Kufa tu

Jamani imenibidi tu nisema huyu jamaa kwenye picha ndio roho yangu kwa sasa nampenda kufa hata akiniambia tuoane leo mimi nipo tayari ...Jamani tulikutana nae kama mwaka umepita akani approach mimi nikawa namringia kwa vile sikumpenda hata kidogo pia marafiki zangu walikuwa wanasema si size yangu eti hatuendani ni mshamba basi na mimi nikamchukulia for granted nikawa na mzungusha, basi siku ya mwaka mpya akanipa offer twende tukaspend bagamoyo for two days sasa huku nilipewa penzi la nguvu ambalo sijawahi pewa na mwanaume hapa dar yaani mpaka niliwasahau masharobaro wangu wote ...

Jamaaa anajua kunigusa napopataka kwa kifupi anajua si unaona kwenye picha hapo hiyo ni trailler tu....Nampenda sana wale marafiki zangu waliokuwa wanamponda sasa nawaambia hivi hapo ndio nimefika nimeoza....Nimeziba masikio hata akisema leo tuoana hata bila sherehe namkubali...I love u Charles
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad