Baada ya Kukabidhiwa Ofisi Lugola Aanza Kazi kwa Kuvunja Baraza na Kamati Zote za Usalama Brabarani

Baada ya Kukabidhiwa Ofisi Lugola Aanza Kazi kwa Kuvunja Baraza na Kamati Zote za Usalama Brabarani
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelivunja Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na Kamati zote za Usalama barabarani za mikoa na wilaya zote.

Julai 01, 2018, Rais Dkt John Magufuli alimteua Kangi Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani akichukua nafasi ya Mwigulu Nchemba, huku akimtaka waziri huyo mpya kushughulikia sakata la Lugumi, ajali, sare za polisi, uingizwaji wa mizigo bandarini na mambo mengine ya usalama wa nchi.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad