Beka Flavor Amuweka Hadharani Mpenzi wake


Waswahili husema 'Penzi ni kikohozi kulificha huwezi' na huwenda @bekaflavour kashindwa kuficha na kuamua kupost picha ya mpenzi wake. "Nimejikuta nimeshindwa na kuamua kupost picha ya mpenzi wangu na hivi karibuni nitaitwa 'Baba' furaha niliyonayo haipimiki kwani huyu atakuwa mtoto wangu wa kwanza " ***Ameyasema hayo @bekaflavour

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad