Brazil Yafanikiwa Kutinga Robo Fainali Kombe la Dunia

Brazil Yafanikiwa Kutinga Robo Fainali Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Brazil imefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia 2018 kwa kuitandika Mexico goli 2-0 .

Magoli ya Brazil yamefungwa na Neymar Jr kunako dakika ya 51 na kiungo mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino dakika ya 88.

Brazil itakutana na mshindi wa usiku kati ya Ubelgiji na Japan kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo mikubwa zaidi duniani.

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad