Breaking: Lugumi Atua Wizara ya Mambo Ndani Kuitikia Wito wa Lugola

Lugumi Amewasili Wizara ya Mambo Ndani Kuitikia Wito wa  Lugola
Mmiliki wa Kampuni ya Lugumi, Said Lugumi amefika katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani DSM kuitikia wito wa Waziri Kangi Lugola

Waziri Lugola alimpa siku 10 IGP, Simon Sirro kumfikisha Lugumi ofisini kwake.

Ikumbukwe Kampuni ya Lugumi iliingia mkataba wa Bilioni 37 na Jeshi la Polisi kufunga mashine za kieletroniki za kuchukua alama za vidole katika vituo vya Jeshi hilo, lakini ilibainika kufunga mashine 14 kati ya 106, licha ya kulipwa 90% ya fedha, kwa mujibu wa mkataba.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lugumi anayo pesa ya Dr Luis Shaka hata Catty Kahabi anajua.
    Saidi wacha huo mshiko kea Lugola atuhifadhie Benki tufanye mengine ya Maana.

    ReplyDelete
  2. Lugumi anayo pesa ya Dr Luis Shaka hata Catty Kahabi anajua.
    Saidi wacha huo mshiko kwa Lugola atuhifadhie Benki tufanye mengine ya Maana.

    Wakati wa Hea na uchafuzi wa Hali ya hewa Umeshapita.
    Huu ni wakati wa waziba Hewa...Kila Kona
    Dili zote nchini zimesitishwa kama Hazijakufa na Huyu Ninja ndiyo kwanza anaingia Uwanjani...Mtindo wake na wachezaji wake vyote hivyo havijajulikana.. Na Jeshi la Wagaga Gigi KOKO ameshalishtukia... Pata hapo mpaka kieleweke... Lugumi Rudisha hata Bilioni Salasini na Sita ndio Upone. au Dr Shika asevu JAHAZI HAPO...!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad