Breaking: Necta Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam.



Shule nyingine zilizoshika mkia ni Forest ya (Morogoro), Jang’ombe, St James, Kilolo,(Iringa),  White Lake,(Dar es Salaam) Aggrey,(Mbeya), Nyailigamba,(Kagera) Musoma Utalii, (Mara)  Ben Bella(Mjini Magharibi) na Golde Ridge(Geita).

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde, Mjini Zanzibar.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad