BREAKING NEWS: Ajali mbaya yatokea, Kontena laangukia daladala tatu


Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kwamba ajali mbaya imetokea muda mfupi uliopita, eneo la Mbalizi, Mbeya likihusisha lori la mizigo (kontena) lililopoteza mwelekeo na kuziangukia daladala tatu, Toyota Hiace na kusababisha madhara makubwa. 

Juhudi za uokoaji zinaendelea eneo la tukio na mpaka sasa bado haijafahamika idadi ya majeruhi na kama kunab taarifa za vifo. 

Kwa taarifa zaidi, endelea kufuatilia hapahapa. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad