Breaking News: Wema Sepetu Akutwa na Hatia Ahukumiwa Kwenda Jela Mwaka Mmoja


Breaking News: Wema Sepetu Ahukumiwa Kwenda Jela Mwaka Mmoja au Faini Milioni Mbili
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya milioni 2 baada ya kukutwa na makosa mawili ya kutumia na kuhifadhi dawa za kulevya aina ya Bangi nyumbani kwake.

Akisomewa hukumu hiyo leo Julai 20, 2018 katika Makahama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, Wema Sepetu ametakiwa kulipa faini hiyo na kama akishindwa basi atapelekwa jela kutumikia adhabu hiyo.

Katika hukumu nyingine wafanyakazi wawili wa ndani wa msanii huyo ambao nao walitajwa kwenye kesi hiyo wameachiwa huru na mahakama hiyo kwa kukutwa bila hatia.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Congratulation na pole sana kwa misukosuko tangu hii issue ianze hopeful now you will be in peace Insha'allah and wishing you all the best and prosperity and healthy life

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad