Breaking News:Ali Kiba Kutambulishwa Kama Mchezaji wa Coastal Union


BREAKING NEWS : Imeripotiwa kuwa uongozi wa Coastal Union upo mbioni kumtambulisha Alikiba kuwa mchezaji wao tayari kwa msimu ujao.
Inasemekana tayari Alikiba ameshafanya makubaliano na uongozi huo na muda wowote kutoka sasa watamtangaza .
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad