Cannavaro Astaafu Kucheza Mpira, Ateuliwa Kuwa Meneja wa Timu


DAR: Nahodha wa muda mrefu wa Klabu ya Yanga SC, Nadir Haroub Ali(Cannavaro) amestaafu soka na kuteuliwa kuwa Meneja wa timu akichukua nafasi ya Hafidh Saleh ambaye sasa anakuwa Mratibu wa timu

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hussein Nyika kwamba baada ya mchango wa muda mrefu kama mchezaji, Cannavaro sasa anahamia kwenye benchi la Ufundi

Cannavaro alijiunga na Yanga mwaka 2006 kutoka Malindi FC ya Zanzibar na mwaka 2009 alitolewa kwa mkopo wa miezi 6 kwenda klabu ya Vancouver Whitecaps ya Canada iliyokuwa inashiriki Ligi ya Marekani, kabla kurejea ya kurejea tena Jangwani hadi msimu uliopita
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad