Casto Aomba Maamuzi yake Yaheshimiwe, Sisikii lolote Kuhusu Tunda


Mtangazaji wa clouds media , Casto Dickson Amfunguka na kuwaomba watu wanaomsema na kumshangaa kwanini ana mpenda sana tunda wamuache na kuheshimu sana maamub=zi yake kwa sababu hapo ndipo alipofikia na ana mapenzi ya dhati na mwanadada tunda.

Akiandika katika ukurasa wake wa instagram, casto anasema kuwa tunda ndie mwanamke anampa ratiba zake za kila siku katika kazi zake katika maish yao.

respect my choice, she is the one who tells me casto its time to job,casto una ahadi ya kikao sehemu,unatakiwa kwenda kwenye hiki na hiki ila nyie majiran hamjui,yaacheni ya moyoni yabaki ya moyoni, nawaheshimu na nina wapenda sana, i love you mmachame wangu,

Tangu mahusiano ya catso na tunda yameanza kwa zaidi ya miezi sita sasa, mashabiki wamekuwa wakimsema sanacasto hasa kutokana na yale aliyowahi kuyafanya nyuma tunda, hata hivyo anachoamini casto kwa mwanamke wake ni kwamba hayuko kama zamani .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad