Chadema ni Kampuni ya Watu Binafsi, Mwita Waitara Atoboa Siri


Mwita Waitara anasema bado Chadema sio taasisi bali ni kampuni ya watu binafsi, kuna shida nyingi ndani ya chama wabunge na wanachama wake hawasemi" .
***Aliyasema hayo Mwita Waitara Jana katika press conference na waandishi wa habari
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad