Chid Mapenzi Afunguka Anavyompenda Shamsa Ford


From @chiddimapenzi - siku ya kwanza nilipokuona nilimuona mke na si mtu maarufu wala muigizaji. Kuja kwako kwenye maisha yangu kumenibadilisha vitu vingi sana.Umeweza kunitoa kwenye ujana na kunifanya niwe mume .Vipimo vyote tulivyopitia Mimi na wewe ni kipimo tosha cha mapenzi yetu.Asante kwa kukubali kuolewa na mm bila kuangalia ninacho au sina.Siku yako ya leo ya kuzaliwa naomba ujue nakupenda sana mke wangu. Mimi ni mwanaume sijachoka na sitochoka kupambana ili nizidi kukutunza mke wangu. Nakupenda sana mpaka mwisho wa uhai wangu. HAPPY BIRTHDAY MKE WANGU SHAMSA RASHIDI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad