Mchekeshaji maaarufu nchini Idris Sultan aliiona ngumu ya jiwe bada ya kununiwa na mpenzi wake aliyenae sasa hivi baada ya kutangaza kuwa angeweza kulipa faini ya aliyewahi kuwana ne katika mahusiano, wema sepetu.
Ijumaa iliyopita Wema sepetu alipokea hukumu yake na kuambiwa kuwa alitakiwa kulipa faini ya milioni 2 au miaka miwili jela na ndipo idris alipotangaza kuwa hiyo pesa ya faini hata yeye angeweza kulipa bila fidia.
Hata hivyo idris alisema kuwa alisema hivyo na alikuwa akimaanisha kabisa na hata ama faini ingekuwa ni zaidi ya milioni mbili asingeshindwa kulipa lakini alipata joto baada ya mpenzi wake wa sasa kumkasirikia baada ya kutangaza kumsaidia mpezniwake wa zamani.