DJ Maphorisa, Wizkid uso kwa uso na Chris Brown


Staa maarufu kutokea Nigeria Wizkid pamoja na Dj Maphorisa kutokea Afrika kusini wamekutana na mkali wa RnB kutokea Marekani Chris Brown hivi karibuni kitendo ambacho kimewafurahisha mashabiki na wengi kuhisi ni ujio wa kazi mpya.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Dj Maphorisaamepost picha hiyo na mashabiki kuona  ni fursa nzuri kwa wawili hao ambayo itazidi kulitambulisha vizuri bara la Afrika katika kitengo cha muziki ikiwa wakishirikiana na kufanya collaboration.

Dj Maphorisa pamoja na Wizkid waliwahi pia kushirikiana katika ngoma ya Soweto babyambayo ilifanya vizuri ndani na nje ya bara la Afrika, picha hii inaweza pia ikawa ni dalili tosha ya kazi mpya kutoka kwa Chris Brownpamoja na Dj Maphorisa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad