Video: Dooh! Daimond Kiboko Acop na Kupesti Kila Kitu...... Wadau Wamtolea Povu

Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya Daimond Platinum Kuachia video ya ngoma yake iitwayo, Baila ambayo amemshirikisha Mshindi wa Tuzo za Grammy, Miri Ben -Ari wadau mbalimbali wameibuka na kumtolea povu msanii huyo kwa kile walichodai kuwa ame copy and paste vipande vingi vya ipande vingi kutoka kwenye wimbo Jab Tak Hai Jaan- Shah Rukh Khan ft Katrina Kaifwa kutoka India .

Hivi ni Baadhi ya vipande ambavyo daimond amedaiwa kuvichuku kutoka kwa msanii mwingine
vipo vipengere vingi ambavyo kama utaangalia wimbo mzima utakubaliana na maneno ya watu kuwa nguo ya mwanadada ambaye ni video qeen wake na huo wimbo wingine ni sawa kila kitu kuanzia rangi za nguo na  maeneo mbalimbali aliyotumia.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad