Akiongea katika hafla ya mtoto wa zamaradi, Esma anasema kuwa hamisa amekuwa akijihisi kuwa anachukiwa lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu kama hicho.
Yeye anajihisi tu , alkini ukweli ni kwamba hatuna muda nae, hatuna time nae, wala hatumjali sana,hatuna stori nae na ndio maana hata tukicomment hatumtagi mtu.kwakweli hatuna muda na mtu.
Esma alipoulizwa kuhusu swala la kwamba wamekuwa wakimchukia moto wa Hamisa na Hamisa mwenyewe na hata kufikia hatua ya Diamond kuwaomba ndugu zake kumpenda mtoto wake Esma anajibu
“Sijawahi kutamka kuwa namchukia mtoto wake na mbona nina mposti sana, sema saa zingine tabia za mama zinaweza kuchangai kwa kiasi kikubwa kumdhuru mtoto pia