Esma Awataka Zari na Wema kuwa na sifa za kuolewa na Diamond
0
July 27, 2018
Esma platinumz ametaa sifa za mwanamke ambae anataka kaka yake amuoe huku akitaja kati ya wanawake wote ambao kaka yake amekuwa nao anaona kuwa Zari na Wema ndio wanaweza kuwa na kaka yake kutokana na sifa walizonazo.
Mwanamke classic, mwanake anaejielewa , mwanamke mwenye akili mwanamke aliyesoma, kwa mfano kama Zari yuko vizuri sana ni mwanamke anaeielewa na yuko vizuri , pia amesoma lakini pia mwingine Wema, mwanamke ambae shule kidogo imeingia ingia .
Hata baada ya kuwataja wema na zari kama wanawake alioona wanaweza kuolewa na kaka yake lakini pia esma amesema kuwa ikitokea akaletewa mwanamke tofauti na sifa alizozitaja basi kwake haitakuwa shida ataumia roho lakini baadae atamzoea.
yoyote atakae niletea kwangu itakuwa sawa tu na siwezi kumsemea ni nai lakini hata kama atamleta na sijamkubali najua roho itaniuma lakini itaenda baadae nitamzoea.
Tags