Familia ya Diamond ni Matajiri wa Kutupwa, Wamwaga Mipesa Kibao Kwa Sherehe ya Mtoto wa Zamaradi

Akiwa kama bosi ameweza kuplay party kubwa sana katika maswala mbalimbali yanayohusiana na sherehe  za wale anaofanya nao kazi,msanii Diamond platinumz siku ya jana yeye na familia yake walifanya kufuru katika sherehe ya mtoto wa Zamaradi baada ya kumwaga pesa nyingi sana kama zawadi kwa mwanamama huyo ambae alikuwa akimtoa mtoto wake.

 Familia ya wcb ikifanya yao wakiongozwa na diamond platinumz.

Mama Diamond pamoja na Esma pia walikuwepo na wao pia walimzawadia pesa nyigi sana zaaradi na sherehe ilifana sana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad