Gigy Money 'Mimi Ndio Staa wa Kike Mwenye Nguvu Kushinda Wote Bongo, Simjui Wema Sepetu'

Msanii wa muziki na video vixen, Gigy Money amedai kwa sasa yeye ndiye staa namba moja wa kike Tanzania mwenye nguvu na pia kutokana na deal mbalimbali ambazo anapata huku akidai kwamba hamjui Wema Sepetu...Adai Watu hawakubali tu ila yeye ndio staaa Mkubwa wa kike kuliko wote Bongo

VIDEO:

Top Post Ad

Below Post Ad