Humphrey Polepole "Hakuna uhuru usio na Mipaka"


Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Humphrey Polepole, amesema kuwa hakuna uhuru usio na mipaka, hivyo basi wananchi wajiwekee mazoea ya kufuata taratibu zinazowekwa ili kuwaongoza.
***Polepole ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Ripoti ya pili Twaweza kuhusiana na tafiti zake kuhusu maoni ya wananchi wa Tanzania kuhusu Ushiriki, Maandamano na Siasa kwa mwaka 2018, ambapo Polepole amesema kuwa hata yeye huwa hafanyi mikutano ya kisiasa kwa kuwa imezuiwa hivyo anavyotembelea mikoani hufanya vikao vya ndani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad