Huyu Hapa Aliyekuwa Waziri wa Tanzania Ambae Alijivua Uwaziri na Kujiunga na Jeshi Kwenda Vitani Kumpiga Iddi Amini


Marehemu Major Gen. Muhiddin Kimario, mmoja ya mawaziri wawili tu wa Mambo ya Ndani katika historia ya Tanzania kuwahi kudumu katika nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka 5. 

Alitumwa na Mwl Nyerere kuwaaga wanajeshi kwenda kumng'oa Nduli Idd Amin, akiwa anahutubia katika uwanja wa Nyamagana ghafla akajivua Uwaziri na yeye akaenda vitani. 

" Mkuu wa mkoa naomba ufikishe taarifa hii kwa Mh Rais kwamba najivua Uwaziri na naamuwa kurudi Jeshini kuungana na wenzangu leo kwenda kumshikisha Adabu Amin"

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzalendo kweli kweli

    ReplyDelete
  2. Tunakukumbuka kwa utumishi uliotukuka, matendo zaidi kuliko maneno, Mwenyezi Mungu ukurehemu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad