Huyu ndio Mwanamke wa Kwanza Pailoti Kuidhinishwa Kurusha Ndege Aina ya Boeng 787 Dreamliner Afrika


Bi Irene Koki Mutungi; rubani wa kwanza mwanamke katika bara la Afrika kuidhinishwa kurusha ndege aina ya Boeing 787 Dreamliner. Mutungi atairusha ndege hiyo ya Kenya Airways katika safari yake ya kwanza toka Kenya hadi Marekani. Mmoja ya abiria wake atakuwa Rais Uhuru Kenyatta.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad