Idris -Ninamjali Wema Hata ingekuwa Milioni 100 Ningelipa

Idris -Ninamjali Wema Hata ingekuwa Milioni 100 Ningelipa
Mchekeshaji Idriss amezungumza ishu ya yeye kumlipia Wema Sepetu faini ya Milioni 2 aliyoamuriwa na mahakama alipe ambapo kasema kuwa atamlipia kwani ni hela ndogo sana kwa mut unaemjali na hata ingekuwa Milion mia angetoa tu, hata hivyo amesema baada ya kuzungumza vile alikasirikiwa na mpenzi wake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad