Jogging za Jumamosi na Jumapili zilihatarisha ndoa zetu.....

Picha ya Mfano Haihusiani na Habari


Wasalamu wana jukwaa

Kwa wale wakazi Dar au majiji makubwa neno jogging natumaini siyo geni kwao.

Katika utawala wa Kikwete jogging ilishamiri sana hasa siku za Jumamosi. Vikundi mbalimbali vilijipanga kufanya jogging. Baada ya jogging kilichofuata ni supu, bia, nyama choma na ile shughuli haramu.

Wake zetu hawakuwa salama kabisaaa kwani ma boss na wenye fedha walipata platform nyingine ya kuwagegeda wake zetu kwa kisingizo cha jogging!!

Nipeleke shukrani za dhati kwa Mheshimiwa sana maana tangia vyuma vigome kupakwa oil na grisi vikundi haramu hivyo vimetoweka kabisaaa kama siyo kufutika.

Sasa hivi siku za Jumamosi tunafanya usafi na wake zetu huku tukisubiru mihongo ichemke jikoni!!

By Yudatade Edesi Shayo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad