JPM Atuma Pole Kwa Kikwete kwa Kufiwa na Baba Mkwe Wake

JPM Atuma Pole Kwa Kikwete kwa Kufiwa na Baba Mkwe Wake
RAIS  John Magufuli na  mkewe Mama Janeth Magufuli, wamefika nyumbani kwa rais mstaafu, Jakaya Kikwete,   kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma Kikwete, marehemu Rashid Mkwachu, nyumbani Msasani jijini Dar es Salaam leo Julai 21, 2018.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad