Kangi Lugola"Siko Tayari Kutumbuliwa na Mheshimiwa"
0Udaku SpecialJuly 27, 2018
“Siko tayari kutumbuliwa ila niko tayari kuwatoa matumbo wote watakaokuwa wanajihusisha na uchochezi kabla tumbo langu halijatumbuliwa na mheshimiwa Rais,” ***Ameyasema hayo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola