Lulu Diva Afunguka Kuhusu Tetesi za Rich Mavoko Kuumwa Pamoja na Kuondoka WCB (Video)
0Udaku SpecialJuly 26, 2018
Muimbaji Lulu Diva ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na muimbaji, Rich Mavoko amefunguka kumzungumzia muimbaji huyo ambaye amekaa kimya kwa muda mrefu. Diva amedai kila siku anaonana na Mavoko na ni mzima.