Maimartha Afunguka Sababu ya Kumuita Jokate Mama wa Taifa

Maimartha Afunguka Kumuita Jokate Mama wa Taifa
Mtangazaji na mc maarufu nchini Maimartha amefunguka na kuongelea  video iliyo-trend sana katika mitandao ya kijamii wiki iliyopita ikimuonyesha akiwa katika  hafla ya Zamaradi  akimuita jokate mama wa taifa swala lililozua sana mtafaruku katika mitandao.

Maimarha anasema kuwa swala la yeye kumuita Jokate hivyo ni kwa sababu Jokate amekuwa mwanamke wa kuigwa na wanawake wengine kutokana na kujitoa kwake katika jamii hasa baada ya kuwa akifanya mambo mengi ya kunufaisha jamii.

Jokate ni mwanamke, oate ni mfano wa kuigwa,nadhani nilichokisema hata mh magufuli kakiona  hicho kitu na kama mwanamke unapokuwa unajulikana tumia hiyo nafasi kuelimiesha wengine , hata kama unasema kiasi gani,haijalishi kwenye mahusiano yako uumekutana na changamoto gani.haijalishi umedondoka au umeanguka mara ngapi.she is a mom, ni mama na kuna ambao wameunganisha , Unaweza ukaiunganisha lakini  naomba wasinitafutie shida..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad