Mapacha walioungana wazaliwa Mwanza, wanatumia moyo mmoja
0
July 27, 2018
Leo July 27, 2018 Taarifa kutoka Hospitali ya Bugando Mwanza ni hii ya kuzaliwa Watoto mapacha walioungana kifua na tumbo wenye jinsi ya kiume wakiwa wanachangia moyo, mshipa mkubwa wa Damu pamoja na ini.
Tags