Masikini! Muna Azidiwa Ghafla Alazwa Hospitali ya Agha Khani

Muna Azidiwa Ghafla Alazwa Hospitali ya Agha Khani
Mama mzazi wa marehemu Patrick, Muna Love asubuhi ya leo amelazwa ghafla katika hospitali ya Agha Khani kwa kuzidiwa na homa kali hii ni baada ya mwili wa mtoto wake kutolewa hospitalini hapo.

Tazama matukio mawili ya jinsi mwili wa Patrick ulivyotolewa Agha Khani hadi nyumbani kwa baba yake mzazi Mwananyamala kwa ajili ya kuuaga mwili wa mtoto Patrick.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad