Moni na Nai Wayamaliza Sasa Mahaba Moto Moto

Moni na Nai Wayamaliza Sasa Mahaba Moto Moto
Baada ya Drama za mahusiano yao kwenye mitandao ya kijamii kati ya mwanamuziki Moni Centrozone na mpenzi wake Nai hatimaye wameamua kuanza upya na kurudisha mahusiano yao  ambayo yalipitiwa na jini mkata kamba  aliwafanya wawili hao kutoelewana.

Nai na Moni walionekana wakiwa wanakula bata weekiend hii na kuweka wazi kuwa wapo safi na yalikuwa ni mambo ya ndani na kudai kuwa  kukwazana ni mambo ya kawaida katika mahusiano na sasa wameyamaliza na wanaishi vizuri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad