Msiba wa Patriki Wamuibua Lulu

Msiba wa Patriki Wamuibua Lulu
Kufua msiba mzito uliowagusa watanzania wengu wa mtoto patrick aliyefariki Dunia juzi jioni huko Nairobi Kenya msiba huo umefanya kumuibua Elizabethi Michael 'Lulu' kuonekana nyumbani kwa Muna Love huko Mbezi beach ambapo awali ilitangazwa msiba ungefanyika huko.

 Lulu ambaye amekua apost chochote kutokana na msiba huu ameamua kuposti mshumaa ishara ya kuomboleza msiba ya Patrick.


Kwa sasa Lulu amekuwa aonekani mitaani wa akiposti chochote kwenye mitandao ya kijamii ila kufuatia msiba huu Lulu ameonekana akifanya usafi na kuweka mazingira mazuri kwaajili ya maandalizi ya msiba.

Kwa muonekano lulu ameonekana tofauti akiwa ameneneba hii imeleta mjadara kwa watu wengi huku wakiwa hawajamuona kwa muda mrefu toka alivyotoka gerezani akitumikia kifungo chake cha miaka miwili.

Top Post Ad

Below Post Ad