Mtoto wa Muna Love Awaliza Wengi..... Hivi Ndivyo Zari na Mastaa wa Bongo Walionyesha Hisia Zao

Kufuatia msiba wa mtoto wa mjasiriamali maarufu mitandaoni nchini Tanzania, MUNA Mastaa wa Bongo Movie na wale wa Bongo Fleva wameguswa na kifo hicho na kutoa salamu za rambi rambi huku wengine wakielezea hisia zao kwa mtoto huyo.




Mtoto wa Muna, ajulikanaye kwa jina la Patrick amefariki jana usiku jijini Nairobi nchini Kenya alikokuwa amelazwa tangu wiki iliyopita kwa maradhi ya kusumbuliwa na mguu.




Tags

Top Post Ad

Below Post Ad