Muna Amaliza Mvutano wa Kumzika Patrick Akubali Kupeleka Msiba kwa Mume Wake wa Ndoa

Muna Apokea Ushauri wa Wengi Akubali Kupeleka Msiba kwa Mume Wake wa Ndoa
Baada ya Vuta nikuvute ya muda mrefu wapi msiba wa mtoto Patriki utafanyika ikiwa mama yake mzazi ambaye ni muna Love kusema msiba utafanyika kwake mbezi beachi Jogoo huku aliyejitokeza kuwa ni baba yake mzazi Peter Zacharia Kusema Patrick ni mwanaye na msiba utafanyika kwake mwananyamala.

Baada ya ushauri mwingi uliotolewa na watu mbalimbali na mazungumzo waliyoyafanya watu wakimshauri muna kutumia busara ya kufanyika kwa msiba huo kwa mume wake wa ndoa hatimaye muna akubari kufanya hivyo na taarifa rasmi zimetolewa na steve Nyerere kupitia instagram yake kwa kuandika hivi;

"Asante kwa kunipa heshima hiii na kuniskiliza Muna amekubali kila jambo litaenda sawa .msiba ni kwa bwana piter na ratiba yote ni apo asanteni".

Top Post Ad

Below Post Ad