Ni siku mbili zimepita toka taarifa za kifo cha mtoto wa Muna Love anayejulikana kwa jina la Patrick afariki dunia akiwa Nairobi nchini Kenya akipatiwa matibabu ambaye alifariki July 3,2018.
Baade taarifa zilienea kuhusiana na Peter Zacharia Komu aliyejitokeza na kudai ni baba mzazi wa Marehemu Patrick na kutaka msiba ufanyike nyumbani kwakwe Mwananyamala huku taarifa nyingine zikidai baba wa mtoto ni mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson.
Kupitia instagram account ya Munalove amefunguka kuhusiana na mvutano ambao umekuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na baba mzazi wa marehemu Patrick.
“Jaman jamani ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ naomba nimzike mtoto wangu ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ vaeni viatu vyangu. Kuna siri kumbwa amjawahi kuijua nawaomba nimzike mtoto wangu alafu ndiyo mnitukane. Mimi ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ naumia jamani, namuheshimu Peter siwezi kuweka kitu hapa maana nitamwaibisha….
"Siwezi kumsema Casto maana yeye anajua wapi alikosea, nawaombeni jamani, naomba nataka kumzika mwanangu. Miaka miwili nahangaika na Paty wangu ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜, nimalize kumzika niongee.
"Nyie wanawake mnaonihumuku, vaeni viatu vya siri nilizohifadhi… baba wa mtoto ni Casto, inatosha ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜, nitukaneni mimi nife ila Paty ni kiongozi alieniongoza nione maisha mapya na nimjue Mungu… Nitalia milele mimi.
"Paty wanguðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜leo wanakugombania mwaanangu, natamani urudi mara mojaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜… Mwanangu ntaleta ijumaa na ntamzika JumamosiðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜, msiba uko kwangu Mbezi Beach.” amesema Muna.
Muna Love: Baba Halali Wa Patrick Ni Casto, Huyo Mwingine Simjui
July 05, 2018
Tags