Mwamuzi Range wa Kenya afungiwa kuchezesha Soka maisha yake yote


Mwamuzi Marwa Range raua wa Kenya hatachezesha soka kwa maisha yake yote. 

Range amefungiwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) baada ya kamatik yake ya nidhamu kukutana, 
Range alikuwa mmoja wa waamuzi wasaidizi wa Kombe la Dunia nchini Urusi, Lakini akapokea rushwa ya dola 600, baada ya kuwekewa mtego. 

Waamuzi wengine wamekumbana na adhabu mbalimbali kutoka Caf, lakini Range akifungiwa kuchezesha soka maisha. 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad