Mwanaume Kuwa na Mpenzi Mmoja ni Hatari Kuliko Ugonjwa wa Kisukari


Wadau nimekutana na hii Facebook, Embu Tujadili kama ina ukweli ama la:


Kutoka kwa Mdau Facebook:

"Hua nikipata muda hua siachi kuwaasa wanaume wenzangu mambo yahusuyo mahusiano na maisha yao.

Hii ni kuwakumbusha tu, kua na mpenzi mmoja ni hatari kuliko kua na ugonjwa wa kisukari na presha.

Heri uugue presha na sukari kuliko kua na mpenzi mmoja. Siku akikuacha unaweza kujiua.

Wanawake hawaaminiki, alafu hua maamuzi yao ni ya kushtukiza na kushtusha na ya ghafla. Unaweza kuwekeza kwake moyo wako siku akikuacha unaweza kuua mtu au wewe Mwenyewe kujimaliza, Rejea habari mbali mbali za vifo vya wanaume vya kujiua kwa ajili ya mapenzi

Last time niliwaasa wanaume wenzangu kuhusu kuwapa wanawake mioyi yenu, heri umpe hela ila usije kumpa moyo wako.

Sasa leo nakuongezea hili, kua na mpenzi mmoja ni hatari kuliko ugonjwa wa kisukari, heri uugue kisukari kuliko kua na mwanamke mmoja.

Huu ni ushauri tu, unaweza kuuchukua au ukauacha ila siku zote ukweli hubakia kua ukweli, bila kujali kua utaukubali au utaukataa na ukweli ndio huu"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad