Mwenye Facebook na Instagram Ashika Namba Tatu Katika Matajiri Wakubwa Duniani

MAREKANI: Mwanzilishi wa Kampuni ya Facebook, Mark Zuckerberg atajwa kuwa mtu wa tatu kwa utajiri duniani

Zuckerberg ameshika nafasi hiyo iliyokuwa ikishikiliwa na Warren Buffett. Hatua hii ya Zuckerberg inaifanya sekta ya teknolojia kutengeneza matajiri watatu wakubwa duniani

Nafasi mbili za juu zinashikiliwa na mmiliki wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos pamoja na mmiliki wa kampuni ya Microsoft, Bill Gates

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad