Mwigizaji Irene Paul Ajitokeza na Kumtetea MunaLove Baada ya Wengi Kumchamba...

Muigizaji wa filamu nchini, Irene Paul amesema kuwa nilazima watu waheshimu hisia za mwanadada Muna Love kama mzamzi na kamwe hastaili kulaumiwa hii inakuja baada ya mfiwa huyo kuzungumza na vyombo vya habari hapo jana zikiwa zimepita siku chache tu toka kumzika mwanae Patrick.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad