Mwl Nyerere Alisema Acheni Wakongo Wafundishe Wabongo Muziki-Nyoshi
0
July 27, 2018
Mwl Nyerere Alisema Acheni Wakongo Wafundishe Wabongo Muziki:-Nyoshi
Msanii wa muziki wa Dansi Tanzania mwenye asili ya Congo,Nyoshi el sadaat amefunguka alipokuwa akiongea na clouds media na kusema kuwa katika bandi yake kuna watanzania wengi sana kuliko idadi ya wakongo kwa sababu anataka watanzania pia wajifunze muziki kupitia wao.
Nyoshi ambae wikiend hii anatarajiwa kufanya shoo kubwa sana katika ukumbi wa Escape One anasema kuwa kazi kubwa alionayo ni kuhakikisha kuwa vijana wa kitanzania wanaotaka kujua muziki kupitia yeye wanafanikiwa katika hilo.
baba wa taifa mwalimu nyerere alishawahi kusema kuwa acheni wakongo wawafundishe muziki wabongo, na ndio maana kwenye band yangu wabongo ni wengi kuliko wakongo.
Tags