Najifunza Mengi Kupitia Kwenye Msiba wa Mtoto Huyu Patrick

Niseme machache kama wasiawangu kwa Jamii, Iyeleweke kua msiba hauzoeleki katika maisha ya kilimwengu, Ispokua msiba niwakujifunza kupitia kwa mwenzio, kama wasemavyo waswahili
MWENZIO AKINYOLEWA Basi nawe jiandae kwa kukosha nywele zako, Tunaiyamini sana misemo kwani huwendana nawakati,
NAOMBA NIREJEE PANAPO KUSUDIO LANGU

Dhumuni kuu nikujifunza bado angali tukiwa hai, Ukiwa kama Mzazi Baba Mama, Ama familia kwa ujumla tuna tambua uhai wa mwanadamu namwadamu hutambua uwepo wake katika Dunia, Wazazi huonyesha thamani ya mwana tangu yupo tumboni hadi kuzaliwa kwake, mama nababa huyang'aza macho yao kwa furaha kwa pendo jipya lamtoto, Huanza kuonyesha thamani yautoto kwamaanaya maadili Elimu zote mbili Pamoja na maradhi pindi mwana augupo, Jicho lathamani kwawazazi huwaza kua na papara nakupatwa nasinto fahamu yakujiuliza mengi kua nikipi kimemkuta kijanawao au binti yao, Hatimae huangaika hadi mungu kuurejesha uzima wake, hapo wazazi hurejesha furaha za myiyoyao nakuanza upya maisha.

UGOMVI
Wazazi wanapo gombana haimaniishi namtoto kagombana nawazazi, Iyeleweke kua mtoto hujifunza kityu kupitia ugomvi wawazazi, Natumaini kuzungumza hvyo inatosha kwakua naeleweka vyema,

MSIBA WA PATRIK
Najifunza sana kwamaranyengine pindi itokeapo misiba ya dizain kama hii, Iweje wazazi amandugu mlete mkanganyiko wa sinto faham ingali mwana Ashafariki, Hivi mnafahamu uchungu wakifo naje mwatambua hukumu yakuchelewa kuzika navipi hizi vuta nikuvute zatukazikie wapi, Ikiwa atazikwa mwananyamala atafukiwa katika shimo Akizikwa Kinondoni bado nishimoni masaki bado nishimoni Hata akizikwa Ulaya bado nishimotu litachimbwa na atazikwatu. Malumbano wekeni pembeni kamhifadhini huyu kija mkirudi kila bondia achukue nafasi yakurusha ngumi ama maneno, Vijembe havisaidii kwa wakati mgumu kama huu, Mama Patrik yatakiwa umpe thamani mumeo nasio kumjazia nzi kwakilamtu aone kane mbaya, Anahaki yamsingi kama baba,Na kuuchukua mwili nakwenda kuzika Nawe pia kadhalika, Lakin mwanamke unadaraja dogo sana juu yahili, Sawa basi mtueleze Patrik atazikwa ama hazikwi ili sisi majiranizetu ambao niwaajiliwa vibaruwa na wajasiliamali tujuwe moja, kama nikuwaacha mtazikawenyewe sawa kulikoni bumbuwazi lamacho, Kwani mtoto kakosa nini? au mlikua natatizo nae wakati yupo hai, Hivi tukimuamsha Patrik akikuta huu mvutano wenu hayo macho yenu mtayafumba kwa mtindo upi au mtamuomba vip radhi naje? kwa udhalili huo atatambuaje kama nyinyi niwazazi wake, Yaan kutoka Dar hadi Nairobi Kenya kwaku muuguza naleo anarudi Dar akiwa ni marehemu, Lakini bado kuna mkanganyiko mara marehemu ameletwa yupo uwanja wandege mara mama katangulia mtoto kababi kenya mara kapelekwa kanisani wazazi Fungeni mikaja Acheni vijembe, Baba funga msuli mama fuka kaniki muelekeo kuzika Kimaisha hayo simaadili mema, maana tuna watoto wetu pia wanajifunza kupitia msiba huu kwa kufatilia Taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari kupitia mvutano wa msiba wakijana Patrik, Binafsi nimeulizwa na mtoto wangu Maswali haya.

KWANI BABA PATRIK ALIKUA NANI
NAMAMAYAKE ALIKUA NANI
NAKWANINI HAJAZIKWA
NAMBONA ANAJULIKANA SANA?
NABABAYAKE NINANI KWANI?

NILIMJIBU NNAVYO FAHAMU MIMI
Mwanangu nnavyo mfahamu patrik nimemfahamu kupitia kwenye mitandao Wala sijawahi kumuona, Nilikua namskia kupitia Radio nyingi kwenye vipindi vya dini yake navipindi vya watoto akishirikiana na wanafunzie wenzie na mengine mengi, Ama kuhusu mamayake Nimuigizaji hapa nchini kwetu, Hakuzikwa kutokana na mkanganyiko wa familia ya wazazi wake wote wawili, Ila atazikwa leo, Ndio anajulikana Msiba nitukio linalo unganisha watu wasio juana kuja kujuana kwani wote wanao shiriki sindugu wapo watu tofauti, Mfano Kuna wanao tafuta majina kupitia misiba kuna wanao jifanya wanamjua sana marehemu nawengine hujitokeza nakujifanya wanamdai marehemu bila kujua aliekufa ni mtumzima au mtoto, Hiyo ndio maana halisi ya msiba mwanangu, Hapa kwenye swala la baba yake sina jibu Msiri mkuu ni mamayake pekee kwani hata mimi huwenda nikawa sio baba yako siri yote yamaisha yako anaijua mama yako, Akataka kuuliza swali jengine nikamnasa kofi kisha ni kamtimua kwakua alipo kua akielekea si mahala pake,

Mwisho wazazi wa Patrik huyo nimwenenu muoneeni huruma ili akapumzike kwamaana kaumwa anahitaji pumziko lenye busara litakalo mfanya akutane na mola wake Why? mnamchelewesha?

Mwisho sina lakusema zaid nikusema
MOLA AILAZE NAFSIHII KATIKA MAZINGIRA SALAMA KWAPAMOJA TUITIKIE AAAAAAMIIIIIN

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad