Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner yatua Mwanza kwa mara ya kwanza, viongozi wa dini wamshushia dua Rais Magufuli


Kwa mara ya kwanza ndege kubwa ya Boeing 787-8 Dreamliner yenye uwezo wa kubeba watu 262 imewasili majira ya saa 5:00 asubuhi ikitokea Kilimanajro.


Hii ni safari yake ya kwanza kuzinduliwa tangu ndege hiyo ilivyowasili nchini Tanzania mapema mwezi huu ikitokea Marekani.

Baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwanza Viongozi mbalimbali wa kidini walitoa dua zao kwa Rais Magufuli kwa kutimiza ahadi yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad