Pasta wa Kanisa Amshukuru Mkewe Kwa Kumpa Vizuri Mambo Kitandani


Wauton Knight, mhubiri maarufu kutoka taifa la Nigeria alizua joto na ucheshi mitandaoni alipotoa ujumbe wake wa kimapenzi katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Pasta huyo aliamua kumsifu mkewe kwa weledi wake wa kusakata ngoma ya kitandani kati ya mambo mengi humfanyia, katika mtandao wa kijamii.

Kupitia kwa mtandao wa Facebook, Knight alifichua kuwa mkewe ni wa maana sana kwa jinsi humshughulikia kila upande.

Moja wapo ya hulka za mkewe ni pamoja na kuwa mwanamke asiyemnyika haki ya ndoa hata siku moja tangu waoane.

"Mwanamke ambaye hajawahi kataa kunitimizia matakwa yangu ya kimapenzi tangu kuoana," Alisema Knight.

Kulingana na Knight, mkewe ni kama dhahabu ifaayo kutunzwa na kutuzwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad