Picha: Ilivyokuwa Kitchen Party Ya Zabibu Kiba

Picha: Ilivyokuwa Kitchen Party Ya Zabibu Kiba
Dada wa Staa wa Bongo fleva Ali Kiba, Zabibu Kiba anayetegemewa Kuolewa hivi karibuni na mpenzi wake ambaye ni mcheza mpira wa Abdi Banda.

Tangu wiki iliyopita Zabibu amekuwa akifanya shughuli mbali mbali kwa ajili ya kuelekea siku ya harusi yake itakayofanyika hivi karibuni.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad