Raia wa Uganda Afumwa Gesti na Mwanafunzi wa Secondari


RAIA wa Uganda anayefanya kazi za kusafirisha watalii hifadhini aliyefahamika kwa jina moja la Peter anasakwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa na mwanafunzi wa kidato cha kwanza jina limehifadhiwa.

Tukio la kufumaniwa kwa mwanafunzi na kijana huyo limetokea Majira ya saa 4 subuhi.

Mtandao huu wa DarMpya.com umefika eneo la tukio katika nyumba ya kulala wageni ya CK Lodge iliyopo eneo la Kijiweni na kumkuta mwanafunzi Hugo akiwa katika moja kati ya vyumba akiwa na chooni emejificha huku kijana huyo raia wa Uganda akitokea akifanikiwa kuwakimbia askari hao.

Pamoja kutokana na kukimbia kwa mtuhumiwa huyo polisi walimkamata rafiki take ambae pia ni Raia wa Uganda na kuondoka naye huku wakimtaka boss wao ambae ni mzungu kuhakikisha anampeleka kijana huyo polisi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Juma Bwire amesema polisi wanaendelea kumsaka mtuhumiwa Hugo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad