Rais Magufuli afanya uteuzi: Waziri Mwigulu atemwa, Lugola aula. Mbarawa ahamishiwa Maji na Umwagiliaji


Rais Magufuli amefanya uteuzi leo :

Kangi Lugola - Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Musa Ramadhani Sima - Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais

Omary Mgumba - Naibu Waziri wa Kilimo

Prof. Makame Mbarawa - Waziri wa Maji na Umwagiliaji

Mhandisi Isack Kamwelwe - Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

Athumani Kihami - Katibu wa Uchaguzi NEC.

Stay tuned..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad