Rais Magufuli Asali Ibada Kanisa la Mtakatifu Petro Jijini Dar es Salaam Leo

RAIS MAGUFULI ASALI IBADA KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 1, 2018 ameungana na waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.


Rais Magufuli akipokea mkate wa Sakramenti alipoungana na waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad